JCPS inafanya kazi ili kuimarisha bajetu yetu huku tukilinda kile kilicho muhimu zaidi, wanafunzi,
wafanyakazi na shule. Maoni yako yatasaidia kuongoza maamuzi ya wilaya, na kuhakikisha kwamba
mapunguzo yanafanywa kwa umakini, uwazi na kwa usawa.
Tafadhali kamilisha utafiti huu kufikia tarehe 10 Novemba. Majibu yenu yatabaki kuwa siri na
kuchambuliwa kwa pamoja.
Ahsante kwa kutoa mtazamo wako.