Tusaidie kuboresha usafiri katika Barabara

Utafiti ufuatao utasaidia RideKC kubaini usafiri wa siku zijazo katika Barabara ya Independence/Barabara Kuu ya 24. Asante kwa kutenga muda kushiriki.

Question Title

Barabara Kuu ya Independence

Barabara Kuu ya Independence

Question Title

* 1. Je, katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, umetumia huduma za Basi za RideKC au IndeBus?

Question Title

* 2. Ikiwa ndio, ni mara ngapi umetumia huduma za Basi za RideKC au IndeBus?

Question Title

* 3. Ikiwa hutumii usafiri wa barabani wa umma, sababu kuu ni gani? (Chagua moja)

Question Title

* 4. Ikiwa unatumia huduma za Basi za RideKC au IndeBus, unatumia usafiri wa barabarani wa umma kwa madhumuni gani? (Chagua zote sahihi)

Question Title

* 5. Ikiwa unatumia huduma za Basi za RideKC, huwa unatumia barabara ya Route 24 Independence?

Question Title

* 6. Ikiwa huwa unatumia barabara ya Route 24 Independence, unaweza kutumia neno gani moja kueleza kuhusu hali yako ya matumizi?

Question Title

* 7. Ikiwa huwa unatumia barabara ya Route 24 Independence, umerithika kwa kiasi gani na huduma yako?

Question Title

* 8. Ikiwa RideKC itabadilisha usafiri wa Barabara ya Route 24 Independence ya Sehemu Kuu Mjini Kansas, ni sehemu gani kati ya zifuatazo unaamini zitakuwa muhimu kuhudumia? (Chagua 3)

Question Title

* 9. Ikiwa RideKC itabadilisha usafiri wa Barabara ya Route 24 Independence, ni sehemu gani kati ya zifuatazo unaamini zitakuwa muhimu kuhudumia? (Tafadhali orodhesha, "1 ikiwa eneo ungependa

Question Title

* 10. Huduma zifuatazo zina umuhimu gani kwako kwa Huduma ya Usafiri wa Moja kwa Moja wa Basi?

  Si muhimu Sina maoni Muhimu sana
Hifadhi ya baiskeli
Mabasi yenye WiFi
Vituo vya WiFi
Mabasi bora zaidi/ubora wa magari
Sanaa za umma
Makazi
Mwangaza katika makazi
Majukwaa tambarare ya kuabiri (kama vile katika treni za umeme)
Uunganishaji - vifaa vya baiskeli na njia za watembeao
Maelezo ya muda halisi wa kuwasili kwa basi lijalo
Kuboresha muda/kasi ya kuwasili
Ukusanyaji nauli nje ya
basi Kushiriki Baiskeli
Kibanda cha maelezo shirikishi
Kuegesha na Kuendesha Baiskeli
Nyingine

Question Title

* 11. Nini muhimu zaidi kwako unapotumia huduma za RideKC?

Mabasi mengi zaidi Vituo vichache vya mabasi vilivyo na huduma za haraka zaidi
Clear
i We adjusted the number you entered based on the slider’s scale.

Question Title

* 12. Je, ungependa kutembea zaidi kwenda kwenye kituo cha usafiri kilicho na makazi, mwangaza, maelezo ya kuwasili kwa basi linalofuata kilicho na huduma nyingi na za haraka na zaidi?

Question Title

* 13. Unaishi wapi?

Question Title

* 14. Mahali unapokwenda mara nyingi zaidi ni wapi?

Question Title

* 15. Kadirio la mapato ya kila mwaka ya familia yako ni la kiasi gani?

Question Title

* 16. Una umri wa miaka mingapi?

ASANTE!
Una swali? Wasiliana na Shawn Strate kwenye RideKC - 816-346-0349 au sstrate@kcata.org

T