Utafiti wa Ubora wa Maisha

English | Swahili
Utafiti huu mfupi unalenga kukusanya maoni yako kuhusu uzoefu wako wa kuishi katika Jiji la Mombasa.
Utafiti huu ni sehemu ya ushirikiano kati ya Serikali ya kaunti ya Mombasa na UN-Habitat, wenye lengo la kuelewa jinsi wakazi wa Mombasa wanavyopima ubora wa maisha yao.
Kujibu utafiti huu hakutachukua zaidi ya dakika tano za muda wako.

Hatutakusanya taarifa zozote zinazoweza kukutambulisha binafsi, na majibu yako yote yatabaki kuwa ya siri na yatatumika tu kwa uchambuzi wa jumla.
Tafadhali shiriki kiungo cha utafiti huu na marafiki zako wanaoishi pia katika Jiji la Mombasa.
Tunathamini sana maoni yako.

Question Title

* 1. Ni kundi gani la umri unaolihusu?

Question Title

* 2. Nini jinsia yako?

Question Title

* 4. Je, ungeweza kusema una ulemavu?

Question Title

* 5. Katika kiwango gani unakubaliana au hukubaliani na kila moja ya kauli zifuatazo?

  Nakubaliana sana Nakubaliana kidogo Sikubaliani kidogo Sikubaliani kabisa Sielewi / Hakuna jibu / Sitaki kujibu
5.1. Ni rahisi kupata ajira nzuri katika jiji langu
5.2. Ni rahisi kupata makazi mazuri katika jiji langu kwa bei inayofaa

Question Title

* 6. Unajisikiaje ukiwa unatembea peke yako katika mtaa yako usiku?

Question Title

* 7. Kwa kiwango cha 0 hadi 10, ambapo 0 ni hali mbaya zaidi na 10 ni bora zaidi, ungeipa alama gani kwa afya yako ya akili kwa ujumla?

0 - Hali mbaya zaidi 10 - Bora zaidi
Clear
i We adjusted the number you entered based on the slider’s scale.

Question Title

* 8. Katika kiwango gani unajisikia una hisia ya kuwa sehemu ya jamii yako katika jiji lako?

Question Title

* 9. Kwa ujumla, tafadhali tuelezee kama unaridhika sana, unaridhika kidogo, hukuridhika kidogo au hukuridhika kabisa na yafuatayo katika jiji lako:

  Naridhika sana Naridhika kidogo Sijaridhika kidogo Sijaridhika kabisa Sijawahi kutumia huduma hii ya umma katika miezi 12 iliyopita Sielewi / Hakuna jibu / Sitaki kujibu
9.1. Usafiri wa umma (mfano: basi, matatu, tukutuk)
9.2. Huduma za afya za umma (mfano: kliniki na hospitali)
9.3. Viwanja vya michezo na taasisi nyingine za kitamaduni za umma (mfano: viwanja vya michezo, ukumbi wa sanaa, theater, makumbusho na maktaba)
9.4. Eneo la kijani la umma (mfano: mbuga na bustani)
9.5. Nafasi za umma (mfano: masoko, viwanja, maeneo ya watembeaji)
9.6. Shule za umma na taasisi nyingine za elimu ya umma

Question Title

* 10. Katika jiji unaloishi, je, una imani na askari wa manispaa?

Question Title

* 11. Katika jiji unaloishi, je, una imani na Mahakama ya Manispaa?

Question Title

* 12. Hapa chini utaona baadhi ya kauli kuhusu utawala wa umma katika jiji lako. Katika kiwango gani unakubaliana au hukubaliani na kila moja ya kauli hizi?

  Nakubaliana sana Nakubaliana kidogo Sikubaliani kidogo Sikubaliani kabisa Sielewi / Hakuna jibu / Sitaki kujibu
12.1. Ninaridhika na muda unaochukuliwa kutatua maombi yangu na serikali ya kaunti
12.2. Taratibu zinazotumika na kaunti ni rahisi kuelewa na za moja kwa moja
12.3. Ada zinazotozwa na kaunti ni za haki
12.4. Taarifa na huduma za kaunti zinaweza kupatikana kwa urahisi mtandaoni
12.5. Kuna ufisadi katika serikali ya kaunti ya Mombasa

Question Title

* 13. Kadri hali ya hewa inavyobadilika (joto, mvua, mafuriko, n.k.), unahisi wasiwasi kiasi gani kuhusu mustakabali wa jiji lako?

Question Title

* 14. Je, unahisi kwamba kama ungehitaji msaada wa mali (mfano: pesa, mkopo au kitu) ungeweza kuupata kutoka kwa ndugu, marafiki, majirani au watu wengine unaowa jua?

Question Title

* 15. Je, unahisi kwamba kama ungehitaji msaada usio wa mali (mfano: mtu wa kuzungumza naye, msaada wa kufanya kitu au kukusanya kitu) ungeweza kuupata kutoka kwa ndugu, marafiki, majirani au watu wengine unaowa jua?

Question Title

* 16. Ukizingatia kila kitu katika maisha yako, kwa kiwango cha 0 hadi 10, ambapo 0 ni 'Sijaridhika kabisa' na 10 ni 'Ninaridhika sana', unaridhika kiasi gani na maisha yako siku hizi?

0 - Sinaridhika kabisa 10 - Ninaridhika sana
Clear
i We adjusted the number you entered based on the slider’s scale.

T