Tusaifie kuweka mipango ya siku zijazo ya Springfield City Library

Springfield City Library ingependa kujua maoni yako kuhusu huduma za maktaba na programu zetu za sasa na zinazotarajiwa. Tutatumia majibu yako kutusaidia kuunda mpango wetu wa mkakati na kuongoza maktaba kwa miaka kadhaa ijayo.

Tafadhali tusaidie kwa kujaza utafiti huu wa dakika 10-12. Majibu yako hayatakutambulisha. Maswali yaliyo na kinyota (*) yanaonyesha kwamba jibu linahitajika.

Asante kwa muda na usaidizi wako.
 
5% of survey complete.

T