• English
  • Español
  • Français
  • Kinyarwanda
  • Kiswahili
  • Lingála
  • Soomaali
  • አማርኛ

Ahadi ya Jumuiya ya COVID Safe na Portland Strong

Toa Ahadi ya Kukaa Salama Kutokana na COVID, Kuwa MwanaPortland Dhabiti!


Asante kwa kutusaidia kupunguza kuenea kwa COVID-19 katika Jiji la Portland na Kaunti ya Multnomah Ili kupunguza kuenea kwa COVID-19 na athari zake, sote tunapaswa kuwajibika ili kujilinda, kulinda familia zetu na jamii yetu kama iwezekanavyo. Kujitolea kwako katika kuimarisha usalama na kuunga mkono juhudi za watu wa jamii yetu kutatusadia kuimarika zaidi baada ya janga hili! Kwa kukamilisha utafiti huu, ninaahidi kuchukua kwa haraka hatua ya:

Question Title

* Kukaa Salama Kutokana na COVID! Wakati wa janga hili linaloendelea, na haswa wakati wa likizo, ninaahidi kujitahidi niwezavyo kufuata mwongozo wa usalama wa afya ya umma wa Oregon Health Authority (Mamlaka ya Afya ya Oregon) na Multnomah County (Kaunti ya Multnomah), ikijumuisha kujilinda mimi na familia yangu kwa:

Question Title

* Kuwa MwanaPortland Dhabiti! Ninaelewa kuwa usalama katika jamii yetu ni jukumu la pamoja na tunataka kuunga mkono mustakabali mzuri wa jiji letu. Wakati wa janga hili la afya ya umma, naahidi kusaidia jamii yangu kwa:

JIANDIKISHE SASA! Ninaahidi Kukaa Salama Kutokana na COVID na Kuwa MwanaPortland Dhabiti
Jisajili ili ushinde zawadi ya $100 kufikia mwishoni mwa Machi 2021!

Wafanyakazi wa Jiji la Portland na Kaunti ya Multnomah wanahimizwa kushiriki katika ahadi hii, lakini hawatastahiki kushiriki kwenye bahati nasibu.

Question Title

* Jina (sio lazima)

Question Title

* Barua pepe* (sio lazima)
Kutoa anwani yako ya barua pepe au nambari ya simu kutakuingiza katika nafasi ya shindano la bahati nasibu ya kila wiki na kutatusaidia kufuatilia kuhusiana na maelezo yanayohusiana na mialiko maalum kwa hafla za matukio yanayokuja ya mtandaoni.

Question Title

* Nambari ya simu* (sio lazima)
Kutoa anwani yako ya barua pepe au nambari ya simu kutakuingiza katika nafasi ya shindano la bahati nasibu ya kila wiki na kutatusaidia kufuatilia kuhusiana na maelezo yanayohusiana na mialiko maalum kwa hafla za matukio yanayokuja ya mtandaoni.

Question Title

* Msimbo wa Eneo (inahitajika)

Question Title

* Je, wewe ni mfanyakazi wa City of Portland (Jiji la Portland) au Multnomah County (Kaunti ya Multnomah?

Asante kwa kutusaidia kupunguza kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19!

T