Partners in Diversity inashughulikia Mradi wa Workforce Diversity ili kutambua na kuangazia vikwazo fiche kwenye ajira ya ujira wa sasa kwa makundi machache na Wanafunzi wa Lugha ya Kiingereza katika eneo la Greater Portland. Michango kutoka kwenye utafiti huu itatumiwa pamoja na data nyingine kuondoa vikwazo hivi. Asante kwa ushiriki wako!

Question Title

* 1. Ulijuaje kuhusu utafiti huu?

Question Title

* 2. Jina la Kwanza

Question Title

* 3. Umri

Question Title

* 4. Utambulisho wa Jinsia

Question Title

* 5. Utambulisho wa Kabila

Question Title

* 6. Unaishi katika Kaunti gani?

Question Title

* 7. Lugha inayozungumzwa nyumbani?

Question Title

* 8. Kiwango cha Juu cha Elimu Ulichohitimu?

Question Title

* 9. Umepata Elimu yoyote ya Ufundi wa Kazi (duka la mbao, kulehemu, CAD, n.k.)?

Question Title

* 10. Hali ya sasa ya kazi?

Question Title

* 11. Malipo kwa saa?

Question Title

* 12. Umefanya kazi unayofanya kwa sasa kwa muda gani?

Question Title

* 13. Ikiwa hufanyi kazi, umekuwa bila ajira kwa muda gani?

Question Title

* 14. Umefanya kazi ngapi mwaka uliopita?

Question Title

* 15. Umefanya kazi za aina gani miaka 5 iliyopita? Chagua yote yanayotumika.

Question Title

* 16. Umepandishwa cheo kazini miaka 5 iliyopita?

Question Title

* 17. Umewahi kufanyia kazi kampuni ya utengenezaji?

Question Title

* 18. Ikiwa la, umewahi kutuma ombi la kazi ya utengenezaji?

Question Title

* 19. Ungependa kufanya kazi ya utengenezaji?

Question Title

* 20. Unafamu kuwa kazi nyingi za utengenezaji hulipa vizuri na huwa na manufaa?

Question Title

* 21. Umewahi kufanya kazi ya kutoa huduma ya afya

Question Title

* 22. Umewahi kutuma ombi la kazi ya huduma ya afya?

Question Title

* 23. Umewahi kufanya kazi katika biashara yenye ujuzi kama vile ujenzi, uezekaji, utengenezaji mabomba ya maji n.k.?

Question Title

* 24. Umewahi kutuma ombi la kazi ya biashara zenye ujuzi?

Question Title

* 25. Unakabiliana na changamoto zipi kupata ajira au kazi bora? Chagua yote yanayofaa.

Question Title

* 26. Je, unahisi kuwa ujuzi na elimu yako binafsi vimekupa ujuzi unaohitajika kufanya kazi ya utengenezaji?

Question Title

* 27. Wewe hutafuta wapi nafasi za kazi?

Question Title

* 28. Ikiwa uko tayari kushiriki katika mahojiano mafupi ya Workforce Diversity kwa kadi ya zawadi ya Starbuck za dola 5, tafadhali tupe nambari yako ya simu unayotumia mchana pamoja na msimbo eneo. Watawasiliana nawe endapo utachaguliwa.

T