Tunatoa kwa mashirika yote ya jamii au ya kimanzigira yaliyo katika nchi za Afrika Kusini na Mashariki nafasi ya kusajili maelezo ya majina yao, maeneo, tovuti, maelezo ya mawasiliano na bidhaa na huduma wanazotoa katika mpangilio orodha USIOKUWA NA MALIPO ambao utapatikana mtandaoni na kwenye CD, ili wateja wanaozekana, waungaji mkono na wafadhali waweze kupata maelezo yako. Mradi huu unafadhiliwa na ruzuku ya uchunguzi na hatutauza maelezo yako au kutoa bidhaa yako.
Huenda tukawasiliana na wewe kwa barua pepe ili uombe maelezo ya uchunguzi wetu, hakuna data yoyote kati ya hii itapatikana kwa wale wanaoangalia Mpangilio orodha. Unaweza kuchagua kujibu maombi ya uchunguzi huu na bado uwe katika Mpangilio orodha.
Ikiwa wewe ni shirika, lisilo la faida au NGO ambayo hutoa bidhaa na huduma ambazo zina kipengee cha KIJAMII au cha KIMAZINGIRA unakaribishwa kujisajili
Kuteka zawadi ni SASA IMEKWISHA