Utangulizi

Asante kwa kukubali kushiriki katika utafiti wetu - tunashukuru sana kwa kuchangia uzoefu wako.

Utafiti huu unalenga kuelewa uzoefu wako na maoni kuhusu  msaada unaoweza kuupata au hukuupata  kutoka katika mashirika, serikali, mitandao, harakati na wengine ambao wanatoka nje ya nchi yako. Utafiti huu unauliza vyote  kuhusu  msaada katika mwelekeo wako na  na msaada kwako kama mwanaharakati binafsi.

Lengo la utafiti huu ni kupanga upya aina hii ya msaada wa karibu na mahitaji ya wanaharakati ili tusaidie kuimarisha kazi yako nzuri na wanaharakati wenzako katika nchi yako.

Utafiti huu ni kwa wanaharakati kutoka nchi kumi na mbili: Colombia, Misri, India, Kenya, Myanmar, Russia, Sudan, Tunisia, Uturuki, Uganda, Ukraine, and Venezuela.

Tunatafuta maoni ya wale wana harakati hai katika jamii, maandalizi ya jamii, mabalozi, wanaharakati wa kisheria, habari za uchunguzi, na aina ya upinzani wa raia ambao hawafanyi vurugu. HATUTAKI  maoni kutoka kwa wataalamu wanaofanyakazi kitaaluma katika mashirika ya kimataifa au mashirika ya kimataifa yasiyo ya kiserikali, isipokuwa kama wana shiriki katika aina nyingine ya uanaharakati.

Utafiti utakuwa ni siri na unaweza kujiunga na barua pepe za Rhize http://www.rhize.org/ kama unataka kupokea maoni kuhusu utafiti.

Utafiti huu unafadhiliwa na Baraza la Atlantic na Taasisi ya Jamii Wazi (Open Society Foundation) na unafanywa na Rhize, jukwaa la kimataifa ambalo linaunganisha wanaharakati katika zana, mikakati na mtandao wanaohitaji kuwa matokeo mazuri zaidi katika mapambano ya usawa, umoja, na ya kidemokrasia duniani. Taarifa zitamilikiwa na Rhize, Baraza la Atlantic na OSF na itatumiwa na umma na kupatikana kwa ajili ya matumizi ya umma.

Utafiti unachukua dakika 30 - 45 kukamilisha.

Kama una maswali au unataka kutoa maoni juu ya utafiti au ushiriki wako na Rhize kipengele kinacholenga  utafiti katika nchi yako unaweza kutuma barua pepe Jackson Fischer-Ward kwenye jackson@rhize.org.
Piga ripoti kuhusu tatizo

T