Kuunda Metro iliyo salama

Mpango wa mageuzi wa King County Metro katika Safety, Security, and Fare Enforcement (SaFE, Usalama, Ulinzi, na Utekelezaji wa Malipo ya Nauli) unalenga kushirikiana na jamii (hii inamaanisha wewe!) kutengeneza tafsiri na taswira ya nini ina maanisha kuwa salama kwenye na katika Metro. Majibu yako kwa maswali haya yatatusaidia kuboresha tafsiri hiyo na taswira ya ni nini inamaanisha kwa kujihisi na kuwa salama.

Itakuchukua takriban dakika 10-20 kukamilisha utafiti huu.
Jinsi unavyotambua
Maswali haya yanaisadia Metro kuhakikisha tunazingatia sauti za wale ambao wameathiriwa zaidi na sera zetu za usalama, ulinzi, na utekelezaji. Data haitatumika katika jambo jingine zaidi ya uchambuzi wa mradi huu. Jisikie huru kujibu tu maswali ambayo unaridhishwa nayo.
1.Je, umeajiriwa au una mkataba na King County Metro?
2.Ni kipi kati ya yafuatayo kinachokuelezea kwa uzuri zaidi? (Chagua kimoja au zaidi.)
3.Ipi ni jinsia yako?
4.Je, unatambulika kama mwanachama wa LGBTQIA+ (Jamii inayotambua jinsia nyingine zaidi ya kiume na kike)?
5.Ipi ni jinsia yako?
6.Ipi ni lugha ya msingi unayozungumza ukiwa nyumbani?
7.Jumla ya kipato cha kaya yako kwa mwaka ni kiasi gani?
8.Je, una ulemavu na/au kizuizi (kama ilivyofafanuliwa na Amricans with Disabilities Act (Sheria ya Wamarekani wenye Ulemavu)) kinachopunguza uwezo wako wa kufanya jukumu au majukumu yako ya msingi/shughuli zako za kila siku? (Kama vile kutembea, kupanda ngazi, kukimbia ili kutimiza majukumu, kusikia matangazo, kutumia kompyuta, kusoma, au kuelewa alama zilizoandikwa au kuchorwa?)
9.Je, kwa sasa huna makazi? Au umepitia kipindi cha kutokuwa na makazi hivi karibuni?
10.Tafadhali chagua maelezo yanayokuelezea kwa uzuri zaidi.
11.Msimbo wa eneo