Kuunda sera kwa ajili ya Metro salama na yenye Kuvutia

King County Metro inakusudia kufanya mageuzi sera na utendaji wake wa usalama na utekelezaji kupitia mpango wa mageuzi ya Usalama, Ulinzi, na Utekelezaji wa Malipo ya Nauli (Safety, Security, and Fare Enforcement (SaFE). Mchakato huu utatokana na ripoti iliyowasilishwa kwa King County mnamo mwaka wa 2021. Ripoti itajumuisha mapendekezo ya jinsi ya kubadili usalama, ulinzi na njia za utekelezaji wa Metro ili kuhakikisha kuwa Metro ni salama na yenye kuwavutia watu wote. 

Itakuchukua takriban dakika 10-15 kukamilisha utafiti huu.
Jinsi unavyotambua
Maswali haya yanaisadia Metro kuhakikisha tunazingatia sauti za wale ambao wameathiriwa zaidi na sera zetu za usalama, ulinzi, na utekelezaji. Data haitatumika katika jambo jingine zaidi ya uchambuzi wa mradi huu. Jisikie huru kujibu tu maswali ambayo unaridhishwa nayo.
1.Je, umeajiriwa au una mkataba na King County Metro?
2.Ni kipi kati ya yafuatayo kinachokuelezea kwa uzuri zaidi? (Chagua kimoja au zaidi.)
3.Ipi ni jinsia yako?
4.Je, unatambulika kama mwanachama wa LGBTQIA+ (Jamii inayotambua jinsia nyingine zaidi ya kiume na kike)?
5.Ipi ni jinsia yako?
6.Ipi ni lugha ya msingi unayozungumza ukiwa nyumbani?
7.Jumla ya kipato cha kaya yako kwa mwaka ni kiasi gani?
8.Je, una ulemavu na/au kizuizi (kama ilivyofafanuliwa na Amricans with Disabilities Act (Sheria ya Wamarekani wenye Ulemavu)) kinachopunguza uwezo wako wa kufanya jukumu au majukumu yako ya msingi/shughuli zako za kila siku? (Kama vile kutembea, kupanda ngazi, kukimbia ili kutimiza majukumu, kusikia matangazo, kutumia kompyuta, kusoma, au kuelewa alama zilizoandikwa au kuchorwa?)
9.Je, kwa sasa huna makazi? Au umepitia kipindi cha kutokuwa na makazi hivi karibuni?
10.Tafadhali chagua maelezo yanayokuelezea kwa uzuri zaidi.
11.Msimbo wa eneo