Karibu!

Grand Rapids Public Schools (GRPS) iko kwenye mchakato wa kupangia muda uliobakia kwenye mwaka wa shule wa sasa na pia kwa mwaka wa shule wa 2021-2022. Wilaya imejitolea kukidhi mahitaji ya wanafunzi na familia zote, sasa na kwenye siku za usoni, na tunataka kusikia maoni yako.

Udadisi huu mfupi unafaa kuchukua chini ya dakika 5 kukamilishwa. Asante kwa kutupatia maoni yako.

Question Title

* Ungejifafanua vipi?

T