Screen Reader Mode Icon
  • English
  • Kiswahili
Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) kwa kutambua umuhimu wa wateja wa huduma za kibenki Tanzania kinafanya utafiti huu ili kujua namna ambavyo wateja wanaridhika na Huduma za Kifedha zitolewazo na mabenki. Utafiti pia una lengo la kuyatambua matarajio ya wateja kutokana na huduma wanazozipata
Asante sana kwa muda wako wa kushiriki katika utafiti. Mrejesho wako ni wa muhimu sana ili kuboresha huduma za kibenki Tanzania.

Tafadhali jibu dodoso hili kwa uhuru kwa kuwa majibu yako ni siri na hakuna swali linalouliza taarifa zinazolenga kumtambua anayejibu

Question Title

1. Je unazo akaunti katika benki mbalimbali?

0 kati ya 25 yamejibiwa
 

T