Katika dodoso hili tunataka uelewa zaidi kuhusu uhusiano kati ya vijana na desturi ya kilimo ambayo inachanganya mazao na miti na wakati mwingine ufugaji wa wanyama (kama vile mbuzi, ng'ombe, kuku n.k.) kwenye shamba moja, desturi hii inaitwa kilimo mseto.

Tunawatafuta watu walio chini ya umri wa miaka 15 hadi 32 ambao wanaishi mashambani hasa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kujaza dodoso hili.

Tutatumia taarifa za dodoso hii kuandika chapisho fupi ambalo linaonyesha uhusiano wa vijana na desturi ya kilimo mseto. Chapisho hilo pia litaangazia ujuzi na mapungufu ya maarifa ambayo yanapaswa kushughulikiwa ili kuboresha utumiaji wa kilimo mseto kwa vijana wa vijijini na kutoa mustakabali mzuri kwao.

Utafiti huu una maswali 18 na unachukua karibu dakika 15 kukamilisha.

Asante kwa kushiriki katika dodoso l!
   

Question Title

* 1. Umri

T