1. Introduction

 
20% of survey complete.

September 1st, 2013

Mwenzangu mpendwa:
Na usaidizi kutoka kwa msingi wa Nathan Cummings, senta ya elimu ya hip-hop(HHEC) ikishirikiana na elimu ya miijini wa kituo cha mji mkuu katika chuo kikuu cha New York na taasisi kwa minajili ya wachache na elimu ya miijini katika chuo cha walimuinaendesha shughuli ya takwimu ya kimataifa kuhusu somo tofauti hip-hop katika shule za msingi, shule za kati, shule za upili, masomo yafanywayo nje ya shule, taasisi za elimuza juu na mashirika ya jamiina zisizo za serikali.
Ili kuelewa kwa upana taswira na hisia katika uwanja wa hip-hop tutatumia neno tamaduni la hip-hop kwa sababu linajumlisha muziki, densi, mashairi, michoro, falsafa, sayansi, hisabati, historia, ujasiriamali na maswala ya kiroho.
Sababu ya utafiti huu ni kuendeleza kutoka tulipotia kikomo mchujo wa kitaifa wa elimu ya hip-hop iliyokamilika mnamo novemba 2011. Tunahesabu na kuweka kumbukumbu bidii tofauti katika masomo ya kimataifa yafanyayo kazi kuhusisha na kurejelea vijana walio ndani na nje ya darasa kutumia elimu msingi wa hip-hop.
Lengo kuu ni kuzigundua mashule, mashirika na mipangilio itumikiayo vijana kimakusudi haswa wale wa mapato ya chini na jamii zenye mazoea ya vita-ili kuwajulisha watendaji, watungasera na wafadhili kulenga vyema rasilimali,kuinua matokeo, kupima nakutunza/kuondoa na kuiga mifano mema na utendaji.
Tunaandika kuwaomba usaidizi kuzidisha ufanisi wa shughuli hii. Kutanguliza nah ii barua pepe, tunasihi ushirikiano wa masomo zijulikanazo, mipangilio, mashirika, marafiki na washika dau wa elimu msingi wa hip-hop ulimwenguni hadi mwisho wa muhula wa mwaka mnamo juni 2013. Tunazitambua mapungufu ya darubini na taswira yetu na fedha na hii ndio sababu yetu ya kuwahimiza muisambaze utafiti huu kwa upana.
Utafiti huu ni kwa muktasari na mtihani wetu laonyesha kuwa linaweza kamilika kwa dakika kumi na tano. Ikiwa una habari kuhusu wengine-walimu, wanaharakati, wasanii, viongozi wa jamii, watafiti, wanafunzi na wataalamu wa afya na utu, wanaojihusisha na hip-hop, tafadhali wahimize watutembelee katika tovuti letu na wajaze na wakamilishe fomu iliyoko; http://www.surveymonkey.com/s/internationalhiphop. marejeleo yote yatafanywa kwa ustaarabu.
Asante kwa mapema kuungana nasi.
Kwa umoja
Timu ya utafiti katika kituo cha elimu ya hip-hop
Mkalimani:Pande Brian


Thank you in advance for your participation.

In solidarity,

Hip-Hop Education Center Research Team

T