West Bench Neighborhood

Nia ya kuuliza maswali haya ni ili kupata maoni kuhusu mtaa huu kutoka wakaaji, na watu wanao fanya kazi mtaani na familia za watoto wanao somea shule iliyi mtaani. Maoni na maono yako kuhusu mtaa huu yatatusaidia kutambua sehemu za kulenga kwa miradi ya kujenga mtaa uliyo wakipekee, unaopendeza na mtaa mzuri wa watu wote.

Question Title

* 1. Tafadhali jaza habari ya mawasiliano:

Question Title

* 2. Uhusiano wako na mtaa huu ni? Tia alama kwa zote zinazo husika:

Question Title

* 3. Unge pendelea kupata habari kuhusu matukio na sasishwa mtaani huu kwa njia gani?

Question Title

* 4. Tafadhali tia alama hapa kama ungetaka kujiunga na jarida la mtaa:

T