Karibuni

GCS ni kifupi cha Global Community Standards ambayo ni kampuni inayohusika na usambazaji wa teknolojia mbadala mbali mbali zenye lengo la kuboresha maisha na hatimaye kuleta urahisi na maendeleo kwa ujumla.

Kampuni ya GCS ina maono ya kuboresha maisha ya jamii kwa kuwapatia fursa ya kununua  technolojia rahisi, nafuu lakini imara. Ni kuhakikisha watu wanapata bidhaa bora zenye garantii ili kutunza thamani ya hela ya mnunuaji. Ipo na kauli mbiu yake isemayo PAMOJA TUNABORESHA MAISHA.

Ili kuwafikia watu wengi zaidi GCS inatumia mtandao wa wajasiriamali  ambao wanaiwakilisha kampuni katika maeneo yao ya makazi katika ngazi ya kijiji, kata na hata wilaya. 

T