Asante, kwaKwa kucukuwa muda wako Kujaza utafiti wa Jamii ya Manchester Proud. Tunafanya utafiti huu ili tujifunze kuhusu uliyoyashuhudia na maoni yako kuhusu Manchester, NH na Shule za Umma za Manchester.
Utafiti huu ni kwa ajili ya mtu yeyote anayejali kuhusu Manchester, wakiwemo wakaazi wa sasa, wakaazi wa kitambo, wakaazi majirani, wafanyakazi wa sasa, wafanyakazi wa kitambo, na watu tu binafsi wanaojali jiji hili wao wenyewe tu.
Utachukua takriban dakika 10 kukamilisha utafiti huu. Majibu yako hayatapitiwa kibinafsi. Kwa hivyo, tafadhali sema ukweli kabisa iwezekanavyo - Hakuna jibu sahihi ao jibu lahaki