Four Questions:

 
50% of survey complete.

Hello! Asante kwa kushiriki katika jitihada za Mradi Mkubwa kutafuta “Sehemu Nzuri” duniani. Tafadhali andika majibu ya kundi lako ya maswali manne yaliyopo chini na baadaye jibu maswali mengineyo kuhusu wewe na marafiki zako kwenye ukurasa wa pili!

Question Title

* 1. KAMA DUNIA ILIVYO SASA HIVI IKIBADILIKA GHAFLA KESHO, NA HALAFU TUKIPEWA NAFASI YA KUIUNDA UPYA kitu gani ambacho USINGETAKA kiendelee duniani?

Question Title

* 2. Maelezo zaidi:

Question Title

* 3. Kitu gani ambacho UNGEPENDA kiendelee duniani?

Question Title

* 4. Maelezo zaidi:

Question Title

* 5. Watu wangetakiwa wafanye kitu gani ambacho ni tofauti ili kufikisha lengo la dunia bora?

Question Title

* 6. Maelezo zaidi:

Question Title

* 7. Kitu gani ambacho ungefanya (wewe na kikundi chako) kilicho tofauti kwa siku 21 ili kufikisha lengo la dunia bora?

Question Title

* 8. Maelezo zaidi:

Question Title

* 9. (Hiari) Maoni ya mwisho: Je, wewe na kikundi chako mna mawazo gani kuhusu mazungumzo haya? Je, una mawazo gani kuhusu wewe au dunia yako?

T