Question Title

* 1. Tafadhali jaza taarifa zako za mawasiliano

Question Title

* 2. Tueleze kazi gani tatu ulizozifanya kabla ya hapa.

Question Title

* 3. Umepokea shilingi laki moja kutoka kwa mteja halafu umeipoteza.Utafanya nini?

Question Title

* 4. Kitu gani kinakuvutia zaidi katika fani ya mauzo?

Question Title

* 5. Lipi kati ya yafuatayo SIYO muhimu katika vigezo kumi muhimu vya kufanikiwa kimauzo?

Question Title

* 6. Bakari ametambua mteja mtarajiwa.Hapo atajaribu ataanzisha uhusiano na mteja huyo kwa

Question Title

* 7. Hatua gani ni ya mwisho kwenye kufanya mauzo

Question Title

* 8. Kusikiliza kwa makini ni

T