Majibu yako itakuwa bila jinaMajibu yako itakuwa bila jina

Utakuwa na nafasi ya kutoa pembejeo yeyote baada ya kujibu ma swali ma chache.
 
Utuambie kwanza kidogo kuhusu ya wewe mwenyewe

Question Title

* 1. Tafadhali uandike Namba ya posta ya fazi unaishi:

Question Title

* 2. Ni wilaya gani ya shule ya JCPS una ishi?:

Question Title

* 3. Uko na miaka ngapi:

Question Title

* 4. Apa sasa uko mzazi wa mwanafunzi wa JCPS?

Question Title

* 5. Kama ni Sio: Uko mzazi wa mwanafunzi wazamani wa JCPS?

Question Title

* 6. Ulijifunza ku shule ya JCPS?

Question Title

* 7. Una fanya kazi kwenye JCPS?

Question Title

* 8. Unaji tambua kuwa ku kikundi ya kabila gani?

Question Title

* 9. Tafadhali uweke hali ya juu au yeyeto ku ma swali yifuatayo.

Ma swali hii saba yana kuomba uonyeshe vile sifa mbalimbali za (superintendent) iko ya lazima. Unaweza kuchagua kiwango sawaya lazima zaidi ya mara moja.

  1 - Si kwa lazima                    2 3 4 5 - Lazima lazima lazima 6 7 8 9 10 - Sawa mambo mengine
Ni kwa nini iko ya lazima kwamba  mgombea uchaguzi  ana uwezo ya kusaidia wanafunzi  wawe na manifikio mu ma shule ya mji au ya  kiungani ?
Ni kwa nini iko ya lazima kwamba mgombea uchaguzi ana uwezo ya kuendeleza ma shule ambayo maonyesho iko chini?
Ni kwa lazima mgombea uchaguzi ana uwezo  ku fuata taratibu ya sera ili kufikia wafanyakazi na utofauti wa wanafunzi?
Ni kwa lazima mtangulizi  ule tuta chagua awe na ujuzi  wa kulenga tabia ya wan funzi  mu darasa ?
Ni kwa   lazima mgombea uchaguzi ana ujuzi wa kuboresha uhusiano nje ya JCPS, kwa mfano, na uongozi wa serikali na wa ndani, washirika wa biashara na vikundi vya jamii ?
Ni kwa nlazima  mgombea uchguzi ana uwezo wa kufua taratibu ya panga programu ya kuendeleza vifaa vya JCPS ?

Question Title

* 10.  Nini Unaamini ya kuwa iko ya lazima zaidi kwa sifa bora ya superintendent? (Chagua moja)

Question Title

* 11. Ni sifa gani iko ya kawaida mu superintendent mupia? (Tafadhali ujibu mu Kiswahili )

Question Title

* 12. Ni ma pinzana gani superintendent mupia wa JCPS atakabiliwa? (Tafadhali ujibu mu Kiswahili )

Question Title

* 13. Ni nini inaweza kuwa fursa kubwa ya superintedent mupia wa JCPS? (Tafadhali ujibu mu Kiswahili )

Question Title

* 14. Ka uli kuwa wa ku chagua Superintendent mupia ,ni ulizo gani uta muuliza? (Tafadhali ujibu mu Kiswahili )

Question Title

* 15. Neno yoyote ya kuongeza? (Tafadhali ujibu mu Kiswahili )

T