Maoni yako kwa mipango wa sasa

Katika sanduku la hapa chini, leta maoni yako kwa mipango ya sasa. Tafadhaki kuchagua shule maalum au waliamua kutoa maoni juu ya mpango wa jumla wa wilaya. Kama unataka kutoa maoni juu ya shule mbiri au tatu , unaweza kuwasilisha utafiti mara mbiri au tatu kuchagua shule iyo unaleta maoni yako. Tafadhali kutambua sehemu ya mpango wewe ni kutoa maoni juu ya na kipande maalum ya maoni kama vile:
    -        Vipande chanya unapendelea
    -        Vipande umeona kama changamoto
    -        Maswali yoyote unaweza kuwa nayo

Question Title

* 2. Maoni yango au chochote unataka kuangeza:

Asante sana kwa maoni yako. Timu ya shule itachukua maoni wako kwa kufanya marekebisho ya mipango.

T