Title I ni program inayogharamiwa na serikali amabyo inatoa msaada kwa shule ambazo zina wanafunzi wengi wanaopata chakula bure au kwa punguzo la bei. Huduma na fedha za Title I zinatolewa ili kuongeza msaada wa mafunzo katika masomo ya Hisabati na Kusoma. Baadhi ya shule zinatoa msaada huo kwa wanafunzi wote na zingine zinatoa msaada kwa wale tu wanaohitaji msaada wa programu. Dodoso hili litatuwezesha kupata maelezo kuhusu program ya Title I katika shule ya mtoto wako. Tafadhali jibu maswali yafuatayo (moja kwa kila familia) ili kusaidia utaoaji wa huduma bora katika Programu hii ya Tile I ya shule ya mtoto wako.

T