Screen Reader Mode Icon
 
Asanteni kwa utayari katika kushiriki utafiti huu wa mtandaoni. Utafiti unalenga kuchunguza uzoefu wa familia wakati wa janga la Korona.  Utafiti huu utachukua takribani dakika 20 kukamilisha.  Tafadhali soma taarifa hii kabla ya kukubali kuwa sehemu kwa kuweka alama ya vema  kwenye kiboksi kilichoandikwa ' ndiyo ' hapo chini.
 
Utatakiwa kujibu maswali kuhusu maisha ya familia yako, ustawi kwa ujumla, mahusiano na jinsi unavyojali wakati wa janga la Korona.
 
Tafadhali kumbuka, kushiriki ni hiari. Ikiwa unaamua kushiriki, unaweza kujiondoa katika hatua yoyote wakati wa Dodoso kwa sababu yoyote kabla ya kuwasilisha majibu yako kwa kubonyeza kitufe cha ' toka '/kufunga. Unaweza kuchagua-kutoka kwenye utafiti kwa baadaye kwa kupuuza barua pepe za ufuatiliaji.

Majibu yako hayataonyesha jina lako, na tutachukua hatua zote sahihi kuhakikisha kwamba majibu yako yatakuwa siri. Anwani yako ya barua pepe itaondolewa kutoka kwenye majibu yote unayotoa kabla ya uchambuzi wowote kufanyika na yatafutwa mara tu baada ya kusomwa. Anwani yako ya barua pepe haitapitia kwa upande wowote wa tatu. Taarifa zako utakazozitoa bila kujulikana jina zitahifadhiwa katika faili litakalotunzwa na nywila na linaweza kutumiwa katika machapisho ya kitaaluma. Anwani yako ya IP haitahifadhiwa. Taarifa za utafiti zitahifadhiwa kwa muda usiozidi muda wa miaka  mitatu baada ya kuchapishwa au matokeo ya utafiti kutolewa kwa umma.
 
Ridhaa
Ninaelewa kwamba:
  • Ushiriki wangu ni wa hiari kabisa.
  • Nahitaji kutoa anwani ya barua pepe kwa kuwa ninaweza kutumwa katika kushiriki tafiti za baadaye. Hata hivyo, anwani hii ya barua pepe haitapita kwa upande wowote wa tatu na itaondolewa kutoka kwenye majibu yangu kabla ya uchambuzi wowote kufanyika, hivyo taarifa ninazozitoa sio rahisi kuziondoa baada ya kuwasilishwa, lakini naweza kuziondoa kwenye tafiti zijazo.
  • Kutokana na uharibifu huu, haitakuwa rahisi kutoa majibu yangu baada ya kuwasilishwa, lakini ninaweza kujitoa katika tafiti za baadaye wakati wowote.
  • Taarifa iliyokusanywa katika utafiti huu itahifadhiwa kwa usalama na haitokuwa rahisi kunitambua kwenye matokeo yoyote ya utafiti huu.

 

Question Title

* 1. Kwa kuweka alama ya vema kwenye kisanduku, unakubali kwamba wewe una umri wa miaka 18, kwamba umesoma maelezo kuhusu utafiti, na kwamba wewe
kwa hiari umekubali kushiriki katika utafiti huu.

0 kati ya 34 yamejibiwa
 

T