Four Questions:

 
50% of survey complete.

Hallo na asante kwa kushiriki katika jitihada za Mradi Mkubwa (A Big Project) za kutafuta "Sehemu Nzuri" duniani mahali ambapo mitazamo yetu ya dunia bora inakutana.Tafadhali andika majibu yako ya maswali manne ya kawaida katika visanduku vilivyopo chini, halafu tueleze kidogo kuhusu wewe kwenye ukurasa unaofuata.

* (Unaweza pia kutuma majibu yako bila kuandika jina lako. Tunaomba tu utuambie unaituma kutoka nchi gani. Maswali mengineo unajibu kwa hiari.)

Tafadhali kumbuka, majibu yanapaswa kuzingatia ujenzi wa dunia bora kwa watu WOTE.

Question Title

* 1. Kama dunia ilivyo sasa hivi ikibadilika ghafla kesho, na halafu tukipewa nafasi ya kuiunda upya, kitu gani ambacho USINGETAKA kiendelee duniani?

Question Title

* 2. Kitu gani ambacho UNGEPENDA kiendelee duniani?

Question Title

* 3. Watu wangetakiwa wafanye kitu gani ambacho ni tofauti ili kufikia katika dunia ya namna hiyo?

Question Title

* 4. Kitu kipi kimoja ambacho ni tofauti na ungefanya sasa hivi ili kutusaidia sisi kufikia katika dunia ya namna hiyo?

T