Health Equity Zone Initiative (Mpango wa Eneo la Usawa wa Afya) unasaidia jumuiya katika kutambua masuala makuu ya afya na kukuza miradi ya kutatua mahitaji yao maalum. Katika miaka miwili ijayo, jumuiya yetu ya South King itapokea ufadhili wa kuendesha miradi iliyotambuliwa na jumuiya. Tungependa kusikia matumaini yako kwa jumuiya yetu! Shiriki mawazo yako na ujiunge nasi katika kuunda jumuiya salama zaidi kwa wote.

Question Title

* 1. Barua pepe

Question Title

* 2. Je, unapenda nini kuhusu kuishi katika Jimbo la South King?

Question Title

* 3. Ni nini kilichokuleta katika Jimbo la South King?

Question Title

* 4. Ni changamoto zipi unazokumbana nazo unapoishi katika Jimbo la South King?

Question Title

* 5. Kupitia tathmini za awali za jumuiya, jumuiya hii imetoa mambo 4 makuu ambayo wameyapa kipaumbele nyumba, ajira, usafiri na ufikiaji wa huduma za matibabu. Je, haya ndiyo mambo hasa mambo makuu ya kuyapa kipaumbele kwa mtazamo?

Question Title

* 6. Ni masuala yapi mengine ambayo ungependa kushughulikia kama jumuiya?

Question Title

* 7. Je, ni matumaini yapi uliyo nayo kwa jumuiya yako katika miaka 5 ijayo?

Question Title

* 8. Ikiwa kuna kitu kimoja ambacho ungependa kubadilisha sasa hivi, kidogo au kikubwa, katika Jimbo la South King, ni kitu gani?

Question Title

* 9. Je, jumuiya yako ina uwezo au nyenzo gani kubwa zaidi ikija ni kutatua masuala yoyote kati ya haya?

Question Title

* 10. Unapofikiria kuhusu talanta, zawadi, maarifa na ujuzi wa kibinafsi, je, unaona nini kama uwezo wako mkubwa zaidi unaoleta kwa jumuiya yako?

T